SAUTI YA WAJANE KUANZIA MASHINANI: WAZIRI DKT. GWAJIMA

Na Barnabas KisengiĀ -Dodoma Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Uongozi wa Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inawatambua na kuwaenzi wanawake wote pamoja na makundi maalum wakiwemo wajane. Kwa mujibu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu inakadiria kuwa idadi ya wajane nchini Tanzania ni laki 8.8 ambayo ni sawa